Wafiadini wa Palestina (19 Februari)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Palestina (19 Februari) (waliofariki 550 hivi) ni kati ya Wakristo bora wa Palestina waliofia dini yao kwa kuuawa kikatili na Waislamu chini ya Mundhir III.

Walikuwa wamonaki na waumini wengine ambao tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini[1].

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.