Wadi Draa
Mandhari
Chanzo | Maungano ya matawimito ya Dades na Imini katika milima ya Atlas |
Nchi | Moroko, Aljeria |
Urefu | 1,100 km |
Kimo cha chanzo | ? |
Mkondo | ? |
Eneo la beseni | 29,500 |
Wadi Draa (pia: "Oued Dra") ni mto mrefu wa Moroko. Unaanza katikati ya nchi kwenye milima ya Atlasi yanapoungana matawimto ya Dadès and Imini.
Mwanzoni unaelekea kusini mashariki hadi Tagunit halafu kusini-magharibi ukifuata mpaka wa Algeria na Moroko hadi mdomo wake kwenye bahari ya Atlantiki.
Ni mara kwa mara tu ya kwamba maji yake yanafika baharini, wakati mwingi inakauka njiani.
Miji muhimu mtoni ni Warzazate (Ouarzazate) na Zagora.
Tazama pia
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wadi Draa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |