Volta Nyeupe

White Volta au Nakanbé ni mkondo wa Mto Volta, njia kuu ya maji nchini Ghana . [1] [2] White Volta unaanzia kaskazini mwa Burkina Faso, unatiririka kupitia Kaskazini mwa Ghana na kumwaga maji kwenye Ziwa Volta nchini Ghana. [1] Mito mikuu ya White Volta ni Black Volta na Red Volta . [1]
Motokeo[hariri | hariri chanzo]
White Volta ni chanzo kikuu cha maji ya kunywa kwa jamii nyingi kwenye kingo zake na zingine. Pia husababisha mafuriko ya msimu [3] kwa jamii nyingi kando ya kingo zake.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 1.0 1.1 1.2 Ghana - Rivers and Lakes. www.countrystudies.us. Iliwekwa mnamo 2017-08-17.
- ↑ Amisigo, Barnabas Akurigo (2005). Modelling Riverflow in the Volta Basin of West Africa: A Data-driven Framework. Cuvilier, 27. ISBN 9783865377012.
- ↑ "Flood alert for Ghana", BBC News Pidgin.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |