Vivianne Miedema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vivianne Miedema mnamo 2023

Anna Margaretha Marina Astrid "Vivianne" Miedema (alizaliwa 15 Julai 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uholanzi ambaye anacheza kama mshambuiaji katika klabu ya Arsenal ya Ligi ya Wanawake ya FA (FA WSL) na timu ya taifa ya Uholanzi. Hapo awali alichezea Bayern Munich na SC Heerenveen.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tomas, Fiona. "Vivianne Miedema makes WSL history as ruthless Arsenal punish sorry Spurs", 18 October 2020. 
  2. Wrack, Suzanne (4 December 2019). "Vivianne Miedema: Arsenal's six-goal headline stealer who hates limelight". The Guardian. Iliwekwa mnamo 27 October 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivianne Miedema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.