Nenda kwa yaliyomo

Vitinha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vitinha akiwa na timu ya taifa Ureno mnamo 2023

Gonçalo Matias Ramos (alizaliwa 13 Februari 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ureno, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ureno.[2]

  1. "2020/21 Premier League squads confirmed". www.premierleague.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
  2. "Vitinha". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 2000-02-13. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vitinha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.