Virgil van Dijk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Virgil van Dijk
Virgil van Dijk

Virgil van Dijk (aliyezaliwa Breda, Kaskazini mwa Brabant, Julai 8, 1991) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi. Yeye anachezea klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Liverpool F.C. na timu ya taifa ya Uholanzi. Anacheza kama beki wa nyuma.

Mwaka 2015, alihamia Southampton ya Ligi Kuu.

Mnamo 1 Januari 2018, van Dijk alijiunga na Liverpool.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Virgil van Dijk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.