Victor Moses

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Victor Moses akiwa Chelsea F.C.

Victor Moses (amezaliwa 12 Desemba 1990 ni mchezaji wa mpira wa miguu anayechezea timu ya Chelsea F.C. iliyopo Uingereza.

Ni mzawa wa Nigeria.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victor Moses kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.