Victor Kachaka
Mandhari
chahat bharal ni Mwanamuziki wa kiasili, mpiga gitaa na wakili [1] Kutoka Lusaka, Zambia.
Alirekodi wimbo wa "It is True", ulikua wimbo mpya mwanzoni mwa miaka ya 1990. Na baadae alitoa wimbo mwingine mpya unaoitwa "Bia Man".
Muziki wa Kachaka unajulikana kama muziki wa kitamaduni nchini Zambia, unaojumuisha vipengele vya muziki wa kitamaduni wa Zambia na muziki wa kitamaduni wa magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Kachaka homepage Archived 22 Machi 2005 at the Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "RAP, RAGGA AND REGGAE IN VICTOR KACHAKA". UKZambians. 17 Januari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Victor Kachaka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |