Vicky Paschal Kamata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Vicky Paschal Kamata ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017