Nenda kwa yaliyomo

Verónica Boquete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Verónica Boquete Giadans

Verónica Boquete Giadans (alizaliwa Aprili 9, 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Fiorentina ya nchini Italia. Amechezea klabu mbalimbali nchini Marekani, Urusi, Sweden, Ufaransa, Ujerumani, China, na Italia. Alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Hispania katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia mwaka 2015.[1]


  1. "List of Players - 2015 FIFA Women's World Cup" (PDF). Fédération Internationale de Football Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-04-10. Iliwekwa mnamo 18 Juni 2015. {{cite news}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Verónica Boquete kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.