Vasile Bizău
Mandhari
Vasile Bizău (amezaliwa Dragomirești, Kaunti ya Maramureș, Romania, Oktoba 14, 1969) ni Askofu wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Romania.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa katika familia iliyoendelea katika imani ya Kigiriki ya Kikatoliki huku Kanisa likipigwa marufuku chini ya utawala wa kikomunisti.
Alihitimu elimu ya sekondari ya Baia Mare mwaka 1988 na kusomea teolojia huko kuanzia mwaka 1990 hadi 1993. Kuanzia mwaka 1993 hadi 2000 alisoma katika Chuo Kikuu cha Kipapa cha Gregoriana cha Roma.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kigezo:In lang PS Vasile Bizău at the Romanian Church United with Rome, Greek-Catholic site; accessed May 30, 2012
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |