Nenda kwa yaliyomo

Vanga, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vanga ni kata ya kaunti ya Kwale, eneo bunge la Msambweni, nchini Kenya[1].

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]