VMware

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kampuni ya VMware

VMware, Inc ni kampuni inayotengeneza programu na ni kiongozi wa kimataifa katika soko la ushirika.

Jina "VMware" linatokana na kifupi "VM", ambacho kinamaanisha "Virtual Machine", wakati ware inatokana na sehemu ya pili ya neno software.

Kampuni hiyo ilianzishwa mwaka 1998 na iko huko Palo Alto, California.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu VMware kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.