Uwanja wa michezo wa Umuganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Umuganda ni uwanja wa michezo wenye shughuli mbalimbali za kimichezo huko Gisenyi nchini Rwanda. Hivi sasa hutumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu (soka) na vilabu kama Etincelles FC na Marines F.C katika Ligi Kuu ya Rwanda. Uwanja huo una uwezo wa kuhimili watu 5,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Umuganda kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.