Uwanja wa michezo wa Sani Abacha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Sani Abacha ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengiupo huko katika, Jimbo la Kano] nchini Nigeria. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) | na pia wakati mwingine kwa riadha. Uwanja huo ni nyumbani kwa timu ya Kano Pillars F.C..Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu takribanni16,000. Umeitwa kwa jina la dikteta wa zamani wa kijeshi aliyekufa Sani Abacha. Ulitumika kuandaa mashindano kadhaa ya kimataifa pamoja na Kombe la Mataifa ya Afrika la mwaka 2000 na Kombe la Dunia la FIFA U-17 la mwaka 2009. Katika msimu wa mwaka 2016-17, Timu ya mpira ya (Kano) zilichota wastani wa mahudhurio ya nyumbani kwa michezo ya ligi ya kitaifa ya watu takribanni10,000, ambayo ni ya juu zaidi kwenye ligi za Nigeria.

Viungo vya njee[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sani Abacha kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.