Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Rufaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Rufaro ni uwanja wa michezo uliopo nchini Zimbabwe katika mji wa Harare ni uwanja wa nyumbani wa timu yao Dynamos F.C. na Harare City F.C, na mara nyingi uwanja huu hutumika kwa ajili ya mashindano ya mpira wa miguu ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 60,000 [1] people. Chama cha mpira wa soko duniani FIFA kupitia mradi wa GOAL programme, ndio walifadhili ukarabati wa uwanja huu kwa kuuwekea nyasi za bandia.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Rufaro kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.