Uwanja wa michezo wa Platberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Platberg unatumika kwa matumizi mbalimbali na unapatikana jimbo la Harrismith, Free State, uko Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Maluti Fet College. Timu hiyo inapatikana uko Greyling Street.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Platberg kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.