Harrismith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harrismith ni mji uliopo katika mkoa wa Free State nchini Afrika Kusini. Uliitwa jina hilo kwa heshima ya Sir Harry Smith, gavana kutoka Uingereza katika karne ya 19 na kamishna mkuu wa Cape Colony.[1]

Upo karibu na Mto Wilge, kandokando ya barabara kuu ya N3 nchini Afrika Kusini, katikati ya Johannesburg, karibu km 300 kuelekea kaskazini magharibi mwa Durban.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Harrismith kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.