Uwanja wa michezo wa Olympique l'Emyrne
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Olympique l'Emyrne ni uwanja uliopo katika jiji la Antananarivo nchini Madagaska ukitumika kama uwanja wa mpira wa miguu na uwanja wa nyumbani wa timu ya SO l'Emyrne,ukiwa ni uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 1,500 .[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-23. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Olympique l'Emyrne kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |