Uwanja wa michezo wa Lucas Masterpieces Moripe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Lucas Masterpiece Moripe ni uwanja wa michezo unaotumika kwa shughili mbalimbali unaopatikana Atteridgeville, Afrika Kusini wenye uwezo wa Kuchukua idadi ya washabiki 28,900 na uliogharimu kiasi cha Rand milioni 48 wakati wa maboresho ya mwaka 2008.[1] Kwa sasa unatumika kwa michezo ya shirikisho la mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa muda kwa klabu za ligi kuu kama vile Supersport United na Mamelodi Sundowns [2] ambapo hutumia pia Uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld.

Jina la uwanja lilitokana na mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu aliyefahamika kama Lucas Moripe. Mpaka mwaka 2010 uwanja huu ulikuwa ukifahamika kama uwanja bora sana (Super).

Timu ya taifa ya Ujerumani walitumia uwanja huu kwa mazoezi kipindi cha Kombe la Dunia la FIFA ya mwaka 2010

Viunga vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "$4.7m budgeted for Confederations Cup marketing", 12 May 2009. Retrieved on 2021-06-10. Archived from the original on 2012-09-11. 
  2. "Ajax lused Cape Town Stadium", KickOff Magazine. Retrieved on 2021-06-10. Archived from the original on 2017-08-03. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Lucas Masterpieces Moripe kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.