Uwanja wa michezo wa Levy Mwanawasa
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Levy Mwanawasa ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Ndola nchini Zambia, uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 49,800 . Serikali ya China ilitangaza kujenga uwanja huu mnamo mwaka 2010.[1] mchezo wa kwanza wa kimataifa ulichezwa katika uwanja huu mnamo tarehe 9 Juni 2010 kati ya Zambia na Ghana na matokeo yalikuwa ni goli moja kwa sifuri.[2] Uwanja huu ulipewa jina la raisi wa tatu wa Zambia, aliefariki mwaka 2008.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Emmanuel Barranguet: China the master stadium builder; The Africa Report, 2 July 2010; first published in: The Africa Report’s World Cup 2010, May 2010.
- ↑ "Qualifiers". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-05. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2012.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20150205110556/http://www.fifa.com/worldcup/preliminaries/africa/matches/round=
ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Levy Mwanawasa kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |