Uwanja wa michezo wa Diaraf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Diaraf ni uwanja wa michezo wenye shughuli mbalimbali za kimichezo huko Dakar nchini Senegal. Kwa sasa hutumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya ASC Diaraf[1]. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 2,500.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sarr, Alioune, "Histoire du Sine-Saloum", Introduction, bibliographie et Notes par Charles Becker, Bulletin de l'IFAN, Tome 46, Serie B, n° 3-4, 1986–1987, pp 21-30
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Diaraf kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.