Uwanja wa michezo wa Aline Sitoe Diatta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Aline Sitoe Diatta ni uwanja wa michezo wenye shughuli mbalimbali za kimichezo huko Ziguinchor nchini Senegal. Uliitwa jina hilo la Aline Sitoe Diatta, baada ya Diola mwanamke aliyechukuliwa na wengi kama mwanamke pekee aliyepinga dhidi ya msukumo wa wakoloni ndani ya Casamance. Kwa sasa hutumiwa zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Casa Sport. Uwanja huo una uwezo wa kuhimili watu 10,000, na ulijengwa kuendesha ligi ya Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1992.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Aline Sitoe Diatta kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.