Uwanja wa michezo wa Ala'ab Damanhour

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Ala'ab Damanhour ni uwanja wa michezo unaotumika huko Damanhour nchini Misri. Hivi sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) kwa kiwango cha vilabu vya Ala'ab Damanhour. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watazamaji 8,000.[1] Pia ulitumika kuandaa mechi tatu wakati wa Kombe la Afrika la mnamo mwaka 1974.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ala'ab Damanhour kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.