Uwanja wa michezo wa Ajaylat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ajaylat Stadium ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi mbalimbali mjini Ajaylat nchini Libya. Na unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu na uwanja wa nyumbani wa timu ya Al Urouba. Uwanja huo unachukua watu 8,000. Msimu wa ligi kuu ya Libya 2008-2009, timu ya Wefaq Sabratha walicheza katika uwanja huu wakati uwanja Sabratha ulipokua kwenye matengenezo.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ajaylat kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.