Uwanja wa michezo wa Agege
Mandhari

Uwanja wa michezo wa Agege ni uwanja wa michezo wenye kazi nyingi. Uwanja huu upo Lagos, nchini Nigeria.[1] Una nafasi kwa watazamaji 4,000.[2] Ni uwanja wa nyumbani wa MFM F.C. ambayo ni timu ya kitaifa ya mpira wa miguu ya wanawake chini ya miaka 17. Tangu mnamo mwaka 2018 ni pia nyumbani kwa timu ya kike ya DreamStar F.C..
Uwanja wa Lagos hutumika kama uwanja wa nyumbani kwa Ligi ya Wanawake ya Nigeria na Klabu ya Ligi Kuu ya Nigeria MFM, ambayo iliwakilisha nchi hiyo mnamo mwaka 2017.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lagos FA Cup Finals Hold Monday At Agege Stadium". P.M. News. 6 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 10 Septemba 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "New Agege Stadium: Lagos Commend Fashola". Nigeria Infrastructure News. 25 Februari 2011. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2011.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Agege Stadium will be ready for Champions League –Lagos". Punch Newspapers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-03-22.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Agege kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |