Uwanja wa michezo wa Ackerville

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Ackerville ni uwanja wa michezo unatumika kwa matumizi mengi uliopo Witbank, Mpumalanga, nchini Afrika Kusini. Hivi sasa uwanja huu unatumika zaidi kwa ajili ya mechi za mpira wa miguu na ndio uwanja wa nyumbani wa kilabu cha mpira cha Calaska ambao hucheza katika ligi ya mpira ya Vodacom. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sy Mthimunye Stadium (Ackerville Stadium). Soccerway. Iliwekwa mnamo 2011-05-30.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ackerville kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.