Uwanja wa Michezo wa Lusail Iconic
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Lusail Iconic, (kwa Kiarabu: ملعب لوسيل الدولي) ni uwanja wa mpira wa miguu wa mji wa Lusail nchini Qatar.[1] Uwanja wa lusail utatumika kuchezea mechi kumi wakati wa kombe la dunia la FIFA 2022, ikiwa ni pamoja na fainali.
Uwanja wa Lusail, unaomilikiwa na Chama cha Soka cha Qatar[2] ni uwanja mkubwa zaidi nchini Qatar na moja ya viwanja nane vinavyobadilishwa kuwa viwanja vya kimataifa vya Kombe la Dunia la FIFA, 2022 huko Qatar.[3]
Uwanja huu upo takriban kilomita 23 kaskazini mwa mji wa Doha.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lusail Iconic Stadium - FIFA World Cup Qatar". e-architect (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2019-03-07. Iliwekwa mnamo 2022-01-20.
- ↑ "Lusail Iconic Stadium World Cup 2022: Qatar World Cup Stadium". fifaworldcupnews.com. 23 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 17 Februari 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Chinese company and HBK JV to build Lusail stadium". constructionweekonline.com. 29 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 19 Julai 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lusail Iconic kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |