Uwanja wa Michezo wa Education City

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa education city

Uwanja wa michezo wa education city, (kwa kiarabu استاد المدينة التعليمية) ni uwanja wa mpira wa miguu ambao upo kwenye mji wa Al Rayyan nchini Qatar. Na ni moja kati ya viwanja vitakavyotumika katika michuano ya kombe la dunia la FIFA la 2022 litakalofanyika nchini Qatar.[1] Kufuatia kombe la dunia la FIFA, uwanja utahifadhi viti 25,000 kwa ajili ya matumizi ya timu za riadha za chuo zilizopo karibu na uwanja huo.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Education City kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.