Usomaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watu wakisoma Kurani katika mskiti wa Damasko, Syria.

Usomaji ni hali ya kusoma maandishi, hasa ya vitabu vilivyoandikwa na wanadamu wengine. Maarifa hayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kupelekea mwanadamu kutafuta maarifa naye mwenyewe kuandika vitabu mbalimbali.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Usomaji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.