Mtumiaji:Pabbie
Mandhari
CHUO KIKUU CHA IRINGA
[hariri | hariri chanzo]Chuo kikuu cha Iringa ni chuo kikuu binafsi kinachopatikana mkoani Iringa, Tanzania.[1]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 1995 chuo kikuu cha Iringa kilianza, kikiwa kama chuo kikuu kishiriki chini ya chuo kikuu cha Tumaini[2].
Mwaka 1997 kikaanza kutoa astashahada, stashahada pamoja na shahada.
Tarehe 25 Oktoba 2013, chuo kikuu cha Iringa kikapewa rasmi hadhi ya chuo kikuu kutoka chuo kikuu kishiriki.
Taaluma.
[hariri | hariri chanzo]Chuo kikuu cha Iringa kina vitivo sita, ambavyo ni:
- Kitivo cha Sheria
- Kitivo cha Teolojia
- Kitivo cha Saikolojia
- Kitivo cha Sayansi na Elimu
- Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Jamii
- Kitivo cha Biashara na Uchumi
Vitivo hivyo vinavyotoa elimu katika fani mbalimbali kwa ngazi za:
- Astashahada
- Stashahada
- Shahada
- Shahada ya Uzamili [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo][[Jamii:Vyuo vikuu vya tanzania]]
- ↑ https://www.tcu.go.tz/sites/default/files/LIST%20OF%20%20UNIVERSITY%20INSTITUTIONS%20IN%20TZ%20AS%20OF%2031.8.2019.pdf
- ↑ "Historia ya chuo kikuu Iringa". www.uoi.ac.tz (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2019-11-08.
- ↑ "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.