Usban

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Usban (au osban ) ni aina ya soseji yakijadi katika baadhi ya nchi za Afrika Kaskazini Algeria, Tunisia na Libya, iliyojaa mchanganyiko wa mchele, mboga, kondoo, ini na moyo . [1] [2] kawaida hutolewa pamoja na mlo mkuu wa wali , mara nyingi hutumika kwenye hafla maalum.

osba ya tunisia

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Gil Marks (2010). Encyclopedia of Jewish Food. Hoboken, New Jersey: John Wiley & Sons. uk. 1. ISBN 978-0-470-39130-3. Iliwekwa mnamo 9 February 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Clifford A. Wright (1999). A Mediterranean Feast. New York, New York: William Morrow & Co. ku. 72–73. ISBN 0-688-15305-4. Iliwekwa mnamo 9 February 2012. osban sausage.  Unknown parameter |url-access= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu "Usban" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.