Kipanga
Mandhari
(Elekezwa kutoka Urotriorchis)
Kwa maana mengine ya jina hili angalia Kipanga (maana)
Kipanga | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 4:
|
Vipanga ni ndege mbua wa nusufamilia Accipitrinae katika familia Accipitridae. Ndege hawa ni wadogo kuliko tai na huruka upesi. Spishi nyingi zinatokea misituni na huwinda ndege na wanyama wadogo kwa kuruka haraka kutoka kitulio kilichofichwa. Wana mabawa mafupi na ya bapa, na mkia mrefu ili kuwasaidia kwenda huko na huko kati ya miti. Jike ni kubwa kulika dume. Uwezo wao wa kuona ni mzuri kabisa, mara nane ya uwezo wa binadamu.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Accipiter badius, Kitaroharo (Shikra)
- Accipiter b. polyzonoides, Kitaroharo Kusi (Southern African Shikra)
- Accipiter b. sphenurus, Kitaroharo Kaskazi (Northern African Shikra)
- Accipiter brevipes, Kipanga miguu-mifupi (Levant Sparrowhawk)
- Accipiter castanilius, Kipanga wa Kameruni (Chestnut-flanked Sparrowhawk)
- Accipiter c. beniensis, Kipanga wa Kongo (Congo Sparrowhawk)
- Accipiter c. castanilius, Kipanga wa Kameruni (Chestnut-flanked Sparrowhawk)
- Accipiter erythropus, Kipanga Miguu-myekundu (Red-thighed Sparrowhawk)
- Accipiter e. erythropus, Kipanga Miguu-myekundu Magharibi (Western Red-thighed Sparrowhawk)
- Accipiter e. zenkeri, Kipanga Miguu-myekundu wa Kati (Central Red-thighed Sparrowhawk)
- Accipiter francesiae, Kipanga wa Frances (Frances's Sparrowhawk)
- Accipiter f. brutus, Kipanga wa Mayotte (Mayotte Sparrowhawk)
- Accipiter f. francesiae, Kipanga wa Frances (Frances's Sparrowhawk)
- Accipiter f. griveaudi, Kipanga wa Ngazidja (Grand Comoro Sparrowhawk)
- Accipiter f. pusillus, Kipanga wa Nzwani (Anjouan Sparrowhawk)
- Accipiter gentilis, Kipanga Mkubwa (Northern Goshawk)
- Accipiter henstii, Kipanga wa Henst (Henst's Goshawk)
- Accipiter madagascariensis, Kipanga wa Madagaska (Madagascar Sparrowhawk)
- Accipiter melanoleucus, Kipanga Mweusi (Black Sparrowhawk)
- Accipiter m. melanoleucus, Kipanga Mweusi Mashariki (Eastern Black Sparrowhawk)
- Accipiter m. temminckii, Kipanga Mweusi Magharibi (Western Black Sparrowhawk)
- Accipiter minullus, Kipanga Mdogo (Little Sparrowhawk)
- Accipiter m. minullus, Kipanga Mdogo (Little Sparrowhawk)
- Accipiter m. tropicalis, Kipanga Mdogo wa Pwani (Coastal Little Sparrowhawk)
- Accipiter nisus, Kipanga wa Eurasia (Eurasian Sparrowhawk)
- Accipiter n. granti, Kipanga wa Kanari (Canari Sparrowhawk)
- Accipiter n. nisosimilis, Kipanga wa Siberia (Siberian Sparrowhawk)
- Accipiter n. nisus, Kipanga wa Ulaya (European Sparrowhawk)
- Accipiter n. punicus, Kipanga Kaskazi-Magharibi (Northwest African Sparrowhawk)
- Accipiter ovampensis, Kipanga wa Ovambo (Ovambo Sparrowhawk)
- Accipiter rufiventris, Kipanga Tumbo-jekundu (Rufous-breasted Sparrowhawk)
- Accipiter r. perspicillaris, Kipanga Habeshi (Ethiopian Sparrowhawk)
- Accipiter r. rufiventris, Kipanga Tumbo-jekundu (Rufous-breasted Sparrowhawk)
- Accipiter tachiro, Senga au Kipanga-misitu (African Goshawk)
- Accipiter t. pembaensis, Senga wa Pemba au Kipanga-misitu (Pemba Goshawk)
- Accipiter t. sparsimfasciatus, Senga Mashariki au Kipanga-misitu (East African Goshawk)
- Accipiter t. tachiro, Senga Kusi au Kipanga-misitu (Southern African Goshawk)
- Accipiter t. unduliventer, Senga Kaskazi au Kipanga-misitu (Northern African Goshawk)
- Accipiter toussenelii, Kipanga Kidari-chekundu (Red-chested Goshawk)
- Accipiter t. canescens, Kipanga Kidari-chekundu wa Uganda
- Accipiter t. lopezi, Kipanga Kidari-chekundu wa Bioko
- Accipiter t. macroscelides, Kipanga Kidari-chekundu Magharibi
- Accipiter t. toussenelii, Kipanga Kidari-chekundu wa Kati
- Urotriorchis macrourus, Kipanga Mkia-mrefu (Long-tailed Hawk)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Accipiter albogularis (Pied Goshawk)
- Accipiter bicolor (Bicoloured Hawk)
- Accipiter brachyurus (New Britain Sparrowhawk)
- Accipiter butleri (Nicobar Sparrowhawk)
- Accipiter chilensis (Chilean Hawk)
- Accipiter chionogaster (White-breasted Hawk)
- Accipiter cirrocephalus (Collared Sparrowhawk)
- Accipiter collaris (Semicollared Hawk)
- Accipiter cooperii (Cooper's Hawk)
- Accipiter erythrauchen (Rufous-necked Sparrowhawk)
- Accipiter erythronemius (Rufous-thighed Hawk)
- Accipiter fasciatus (Brown Goshawk)
- Accipiter griseiceps (Sulawesi Goshawk)
- Accipiter gularis (Japanese Sparrowhawk)
- Accipiter gundlachi (Gundlach's Hawk)
- Accipiter haplochrous (White-bellied Goshawk)
- Accipiter henicogrammus (Moluccan Goshawk)
- Accipiter hiogaster (Variable Goshawk)
- Accipiter imitator (Imitator Sparrowhawk)
- Accipiter luteoschistaceus (Slaty-mantled Sparrowhawk)
- Accipiter melanochlamys (Black-mantled Goshawk)
- Accipiter meyerianus (Meyer's Goshawk)
- Accipiter nanus (Dwarf Sparrowhawk)
- Accipiter novaehollandiae (Grey Goshawk)
- Accipiter poliocephalus (Grey-headed Goshawk)
- Accipiter poliogaster (Grey-bellied Goshawk)
- Accipiter princeps (New Britain Goshawk)
- Accipiter rhodogaster (Vinous-breasted Sparrowhawk)
- Accipiter rufitorques (Fiji Goshawk)
- Accipiter soloensis (Chinese Goshawk)
- Accipiter striatus (Sharp-shinned Hawk)
- Accipiter superciliosus (Tiny Hawk)
- Accipiter trinotatus (Spot-tailed Goshawk)
- Accipiter trivirgatus (Crested Goshawk)
- Accipiter ventralis (Plain-breasted Hawk)
- Accipiter virgatus (Besra)
- Erythrotriorchis buergersi (Chestnut-shouldered Goshawk)
- Erythrotriorchis radiatus (Red Goshawk)
- Megatriorchis doriae (Doria's Goshawk)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kitaroharo
-
Kipanga wa Frances
-
Kipanga mkubwa
-
Kipanga wa Madagaska
-
Kipanga mweusi
-
Kipanga mdogo
-
Kipanga wa Ulaya
-
Kipanga tumbo-jekundu
-
Senga
-
Kipanga mkia-mrefu
-
Collared sparrowhawk
-
Cooper’s hawk
-
Brown goshawk
-
Grey goshawk
-
Fiji goshawk
-
Sharp-shinned Hawk (kijana)
-
Crested goshawk
-
Besra