Nenda kwa yaliyomo

Alka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uria)
Alka
Alka domo-wembe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Charadriiformes (Ndege kama vitwitwi)
Familia: Alcidae (Ndege walio na mnasaba na alka)
Jenasi: Aethia Merrem, 1788

Alca Linnaeus, 1758
Alle Link, 1806
Brachyramphus Brandt, 1837
Cepphus Pallas, 1769
Cerorhinca Bonaparte, 1828
Fratercula Brisson, 1760
Pinguinus Bonnaterre, 1791
Ptychoramphus Brandt, 1837
Synthliboramphus Brandt, 1837
Uria Brisson]], 1760

Spishi: Angalia katiba

Alka (kutoka Kiiceland: alka) ni ndege wa bahari wa familia Alcidae. Wanafanana na ngwini kwa sababu wana umbo na rangi sawa na hawa, pia mabawa mafupi lakini spishi ziliopo hadi sasa zinaweza kuruka angani kinyume na ngwini. Spishi nyingine zilozokwisha sasa zilikuwa zimepoteza uwezo kuruka angani (k.m. Great Auk). Wanatokea bahari za nusudunia ya kaskazini. Huzamia kabisa ili kukamata samaki, gegereka na krili. Huzaa katika makoloni kwa pwani zenye miamba. Jike hulitaga yai moja tu juu ya shubaka la mwamba au katika tundu.

Spishi za Afrika (na Ulaya)

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za kabla ya historia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu "Alka" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili alka kutoka lugha ya Kiiceland. Neno (au maneno) la jaribio ni alka.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.