Upauzana

Upauzana wa Gnome2 kwenye Linux.
Katika utarakilishi, upauzana (kwa Kiingereza: taskbar) ni elementi ya kiolesura michoro cha mtumiaji inayoonyesha programu zinazotumika kwenye tarakilishi husika.
Upauzana unaweza kuwa upauzana unaoelea (kwa Kiingereza: floating toolbar) au upauzana egeshi (kwa Kiingereza : docked toolbar).
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).