Uonyesho wa fuwelemaji

Mchoro wa uendeshaji wa uonyesho wa fuwelemaji.
Katika utarakilishi, uonyesho wa fuwelemaji ((pia: zinzo fuwelemaji[1]; kwa Kiingereza: liquid crystal display) ni uonyesho wa paneli bapa unaotumia sifa bainifu za fuwelemaji kutokeza picha. Uonyesho wa fuwelemaj ni aina mojawapo ya uonyesho.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ ISTILAHI ZA KISWAHILI CHA KOMPYUTA – Mwalimu Wa Kiswahili (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-04-21. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.