Unafasishaji herufi
Jump to navigation
Jump to search

Aina tatu za unafasishaji herufi katika neno la Kifaransa "Bonjour".
Katika uchapaji na utarakilishi, unafasishaji herufi (kwa Kiingereza: letter-spacing) ni mabadiliko ya nafasi kati ya herufi za neno moja. Mtumiaji anaweza kubadilisha unafasishaji herufi kwenye kichakata matini.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).