Umbali kimwili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Umbali kimwili nchini Uingereza kwa ajili ya mlipuko wa Covid-19.

Umbali kimwili (kwa Kiingereza: social distancing au physical distancing) ni ushauri wa kulinda afya unaotumika ili kudumisha umbali kati ya watu wakati wa maambukizo. Lengo la umbali kimwili ni kukomesha maambukizo.

Umbali kimwili ni meta mbili kati ya watu wawili. Umbali kimwili hupunguza mzunguko wa virusi katika jamii.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Umbali kimwili unatumika ulimwenguni kwa kupambana na virusi vya Corona na ugonjwa wa COVID-19.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Umbali kimwili kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.