Ukindu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ukindu

Ukindu ni jani au kitembwe cha mkindu (Phoenix reclinata). Jani hutumika kusukia kili za kushonea vikapu, mikeka au vitanga. Kitembwe hutumika kwa kusokota kamba.