Ujumbe kosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ujumbe kosa wa Windows XP unaitwa "skrini samawati"

Katika utarakilishi, ujumbe kosa (kwa Kiingereza: error message) ni taarifa, inaoonyeshwa katika skrini ya tarakilishi au vifaa vingine, ikithibitisha kosa moja lililotokea.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.