Uingereza Kusini-Mashariki
Mandhari
South East England | |
Mahali pa Uingereza Kusini-Mashariki katika Uingereza | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Sehemu | Uingereza |
Mji mkuu | Southampton |
Eneo | |
- Jumla | 19,096 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 8,000,550 |
Tovuti: http://www.southeast-ra.gov.uk/ |
Uingereza Kusini-Mashariki (Kiing.: South East England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 8,000,550. Mji wake mkuu ni Southampton.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uingereza Kusini-Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
London Mkuu | Kaskazini-Magharibi | Kaskazini-Mashariki | Kusini-Magharibi | Kusini-Mashariki | Mashariki | Midlands Magharibi | Midlands Mashariki | Yorkshire na Humber |