Uingereza Kusini-Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


South East England
Mahali paSouth East England
Mahali paSouth East England
Mahali pa Uingereza Kusini-Mashariki katika Uingereza
Nchi Bendera ya Ufalme wa Muungano Ufalme wa Muungano
Sehemu Bendera ya Uingereza Uingereza
Mji mkuu Southampton
Eneo
 - Jumla 19,096 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 8,000,550
Tovuti:  http://www.southeast-ra.gov.uk/

Uingereza Kusini-Mashariki (Kiing.: South East England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 8,000,550. Mji wake mkuu ni Southampton.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uingereza Kusini-Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Bandera ya Ufalme wa Muungano
 
Mikoa ya Uingereza
London Mkuu | Kaskazini-Magharibi | Kaskazini-Mashariki | Kusini-Magharibi | Kusini-Mashariki | Mashariki | Midlands Magharibi | Midlands Mashariki | Yorkshire na Humber