Uhakiki wa fasihi simulizi
Mandhari
Uhakiki ni kitendo cha kuchambua kazi ya kifasihi, kifani na kimaudhui ili kupata ujumbe uliomo katika kazi hiyo. Uhakiki ni kitendo cha kusoma kazi ya fasihi asilia inayoweza kuwa riwaya, tamthiliya au ushairi, kisha kueleza na kufichua mambo ambayo yamefichika katika kazi hizo. Uhakiki wa fasihi hushughulikia vipengele vikuu viwili ambavyo ni fani na maudhui.
Katika fani tunachunguza vipengele vifuatavyo:
Katika maudhui tunachunguza vipengele vifuatavyo:
Tathmini ya uhakiki wa kazi ya fasihi simulizi
Tathmini ni kitendo cha kuonesha ubora au udhaifu wa kazi iliyohakikiwa wakati wa kufanya tathmini. Mambo ya kuchunguza zaidi ni:
- (i) Ukweli wa mambo yanayoelezwa.
- (ii) Umuhimu wa kazi ya kifasihi kwa jamii inayohusika.
- (iii) Uhalisia wa watu,mazingira na matukio katika jamii.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uhakiki wa fasihi simulizi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |