Uganguaji
Katika utarakilishi, uganguaji (kutoka kitenzi kuganga, kugangua; kwa Kiingereza: Debugging) ni mfumo wa mkuto wa msuluhisha wa matatizo ya tarakilishi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).