Ugandamuzi data

Namba ya biti katika hati za wav na hati za mp3.
Katika utarakilishi, ugandamuzi (kwa Kiingereza: data decompression) ni mfumo wa ongezeko la biti ya hati ya tarakimu.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).