Uchambuzi namba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa uchambuzi namba katika kigae cha Babuloni YBC 7289 cha miaka 1800–1600 KK pamoja na ufafanuzi wa kitarakimu.[1]

Uchambuzi namba ni tawi la hisabati linalohusika na ukadiriaji bora wa maeneo ya maumbo katika uchambuzi wa kihisabati.

Ujuzi huo unatumika katika sayansi zote pamoja na uhandisi, hasa baada ya uenezi wa tarakilishi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Majarida[hariri | hariri chanzo]

Vitabu mtandaoni[hariri | hariri chanzo]

Vitini mtandaoni[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchambuzi namba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.