Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1880
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1880 ulikuwa wa 24 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 2 Novemba. Upande wa "Republican Party", James Garfield (pamoja na kaimu wake Chester Arthur) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Winfield Scott Hancock (pamoja na kaimu wake William Hayden English).
Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Garfield akapata kura 214, na Hancock 155. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1880 Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |