Ubaridi maji
Jump to navigation
Jump to search
Katika utarakilishi, ubaridi maji (kwa Kiingereza: water cooling) ni mfumo unaotumika ili kupoza kwa maji vijenzi ndani ya tarakilishi. Kwa mfano pampu ya maji ni mfumo wa ubaridi maji.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).