Nenda kwa yaliyomo

Tuzo za Muziki za Star FM

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo za Muziki za Star FM zilianzishwa mnamo mwaka 2019 na Star FM Ili kusherehekea Wanamuziki Bora kwenye kituo Chao cha redio.Tuzo hizo hutolewa Kila mwaka na hurushwa Moja kwa moja kwenye Facebook.Sherehe ya Kila mwaka ya uwasilishaji hujumuisha maonyesho ya wasanii.[1]

Miji wenyeji

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Nchi Mji mwenyeji Ukumbi Mwenyeji
2019 Zimbabwe Harare Zimbali Gardens Mai Judah, V Candy

Vipengele vya tuzo za sasa

[hariri | hariri chanzo]
  • Artist of the Year
  • Best Male Artist
  • Best Female Artist
  • Best Duo/Group
  • Best African Pop Song
  • Best Sungura Song
  • Best Zimdancehall Song
  • Best Hiphop Song
  • Best RnB Song
  • Best House Song
  • Best Song by Zimbabwean in the Diaspora
  • Best Gospel Song
  • Best Newcomer
  • Best Collaboration
  • Best Producer
  • Song of the Year
  • Album of the Year
  1. Zimoyo, Tafadzwa (Februari 4, 2019). "Zimbabwe: Star FM Awards Worth the Wait". allAfrica.com.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)