Turid Knaak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Turid Knaak

Turid Knaak (alizaliwa 24 Januari 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake nchini Ujerumani.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Steckbrief Turid Knaak" (kwa German). fcr-01.de. Iliwekwa mnamo 25 February 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Turid Knaak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.